Ufafanuzi wa mraa katika Kiswahili

mraa

nominoPlural miraa

  • 1

    mmea wenye kikonyo kirefu na majani marefu na yanayotafunwa na watu kuwa ni kileo au uraibu.

    mrungi

Matamshi

mraa

/mra:/