Ufafanuzi wa mratabu katika Kiswahili

mratabu

nominoPlural miratabu

  • 1

    mti mkubwa usiopukutisha majani yake na ambao hutoa mbao ngumu na matunda yake huliwa.

Asili

Kar

Matamshi

mratabu

/mratabu/