Ufafanuzi wa mratibu katika Kiswahili

mratibu

nominoPlural waratibu

  • 1

    mtu mwenye madaraka ya kupanga, kuunganisha na kusimamia shughuli za watu mbalimbali.

Asili

Kar

Matamshi

mratibu

/mratibu/