Ufafanuzi wa mrera katika Kiswahili

mrera

nominoPlural mirera

  • 1

    nakshi ya shingoni mwa kanzu za kike au kizibao, agh. hufanywa kwa hariri nyekundu.

Matamshi

mrera

/mrɛra/