Ufafanuzi wa mrija katika Kiswahili
mrija
nominoPlural mirija
- 1
chombo chembamba chenye uwazi ndani kinachotumika kufyonzea viowevu au kutengenezea filimbi au kiko cha tumbaku.
- 2
njia yoyote ya kujipatia faida ya kibinafsi kwa kuwategemea watu wengine.