Ufafanuzi wa mrithi katika Kiswahili

mrithi

nominoPlural warithi

  • 1

    mtu ambaye ana haki kisheria kulinda, kuweka au kuchukua mali ya mtu aliyekufa.

Matamshi

mrithi

/mriθi/