Ufafanuzi wa mroho katika Kiswahili

mroho

nominoPlural waroho

 • 1

  mtu aliye na tabia ya kula upesiupesi kwa kuona kuwa hatatosheka.

  mlafi, mmeo

 • 2

  mtu anayependa kula kila chakula anachokiona.

 • 3

  mtu mwenye tamaa.

Matamshi

mroho

/mrɔhɔ/