Ufafanuzi wa msaada katika Kiswahili

msaada

nominoPlural misaada

  • 1

    hali au kitu anachotoa mtu, nchi, n.k. ili kutimiza haja ya mtu au nchi nyingine.

    muawana, auni, amara, nusura, huduma

Asili

Kar

Matamshi

msaada

/msa:da/