Ufafanuzi wa msajili katika Kiswahili

msajili

nominoPlural wasajili

  • 1

    mtu au idara inayoweka orodha ya kazi au vitu ilivyokabidhiwa.

    ‘Msajili wa majumba’
    ‘Msajili wa vyama’

Asili

Kar

Matamshi

msajili

/msaʄili/