Ufafanuzi wa msamba katika Kiswahili

msamba

nominoPlural misamba

  • 1

    sehemu ya katikati ya mwili inayounga mapaja na kiwiliwili.

    kitako

  • 2

    hatua ya kutoka kwenye mguu hadi mwingine.

    hatua

Matamshi

msamba

/msamba/