Ufafanuzi wa msanii katika Kiswahili

msanii

nominoPlural wasanii

  • 1

    mtu mwenye ustadi wa kuchora, kuchonga au kutia nakshi.

  • 2

    mtu mwenye ufundi wa kutunga na kutoa mawazo yake k.v. kwa shairi, hadithi au tamthilia, yenye kumvuta msomaji.

Asili

Kar

Matamshi

msanii

/msani:/