Ufafanuzi wa msarifu katika Kiswahili

msarifu

nominoPlural wasarifu

  • 1

    mtu mwenye kusimamia na kuidhinisha matumizi mazuri ya fedha katika shirika, ofisi au kampuni.

  • 2

    mtu mwenye kupanga na kuendesha mambo kwa utaratibu.

  • 3

    mtu anayetumia vitu kwa uangalifu.

Matamshi

msarifu

/msarifu/