Ufafanuzi wa msemo katika Kiswahili

msemo

nominoPlural misemo

  • 1

    fungu la maneno linalotumiwa na jamii ya watu kwa namna maalumu ili kutoa maadili k.m. ‘Mpaji ni Mungu’ na ‘Lila na fila havitangamani’.

  • 2

    tamko lolote.

Matamshi

msemo

/msɛmɔ/