Ufafanuzi wa mshamara katika Kiswahili

mshamara

nominoPlural mishamara

  • 1

    ada ya kimila inayotolewa na wenye sherehe au hadhara yoyote ili kuwapa wageni wa kila tarafa kuonyesha kuwa wenyewe walikusudia kuwapa taarifa ya habari hiyo na kwamba jambo litakalotokea ni la halali katika jamii hiyo.

Matamshi

mshamara

/m∫amara/