Ufafanuzi wa mshtaki katika Kiswahili

mshtaki

nominoPlural washtaki

  • 1

    mtu anayepeleka mashtaka au madai mahakamani au kwa mtu anayeweza kuyaamua.

    mdai

Matamshi

mshtaki

/m∫taki/