Ufafanuzi wa mshtuo katika Kiswahili

mshtuo

nominoPlural mishtuo

  • 1

    tendo au hali ya kushtua; mkutuo wa ghafla k.v. kwa kushtuliwa na umeme au kuvutwa kwa ghafla.

    mgutusho, mkurupusho

Matamshi

mshtuo

/m∫tuwɔ/