Ufafanuzi wa msindi katika Kiswahili

msindi

nomino

  • 1

    mti jamii ya mkoko ambao ukirowekwa hutoa rangi nyekundu.

    mkandaa

Matamshi

msindi

/msindi/