Ufafanuzi wa msindikizo katika Kiswahili

msindikizo

nominoPlural misindikizo

  • 1

    hali au tendo la kufuatana na mtu kwa kitambo fulani wakati anapoondoka au anaposafiri.

Matamshi

msindikizo

/msindikizɔ/