Ufafanuzi wa msingaji katika Kiswahili

msingaji

nominoPlural wasingaji

  • 1

    mtu afanyaye kazi ya kusugua na kuwakanda wengine, agh. kwa mafuta na sandali au dawa.

Matamshi

msingaji

/msingaʄi/