Ufafanuzi wa msinziaji katika Kiswahili

msinziaji

nomino

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kusinzia.

Matamshi

msinziaji

/msinzijaŹ„i/