Ufafanuzi wa msisimko katika Kiswahili

msisimko

nominoPlural misisimko

  • 1

    hali ya mtu kuhisi mchomo au mshtuko wa ghafla mwilini baada ya kuona au kuingiwa na hamu kubwa ya kufanya jambo.

    vuguvugu

Matamshi

msisimko

/msisimkɔ/