Ufafanuzi wa msoma katika Kiswahili

msoma

nominoPlural misoma

  • 1

    ngoma, agh. inayochezwa na wanawake peke yao au mara nyingine na wanaume kwa kushikana mgongoni ili kufanya msururu wakiwa wanakwenda mbio huku na huku au kufanya duara.

Matamshi

msoma

/msɔma/