Ufafanuzi wa msonyo katika Kiswahili

msonyo

nominoPlural misonyo

  • 1

    sauti inayofanywa na mtu kwa kugusisha meno na ulimi na kuvuta pumzi ndani kama ishara ya dharau au hasira.

    mfyonyo, mnyuso

Matamshi

msonyo

/msɔɲɔ/