Ufafanuzi wa msukumo katika Kiswahili

msukumo

nominoPlural misukumo

  • 1

    hali inayoongeza nguvu katika utendaji wa jambo fulani.

    ‘Halmashauri kuu ilitoa msukumo huo mpya’

Matamshi

msukumo

/msukumɔ/