Ufafanuzi wa msururu katika Kiswahili

msururu

nominoPlural misururu

  • 1

    mstari mrefu wa watu au vitu vilivyoandamana kimoja baada ya kingine.

    ‘Msururu wa watu’
    ‘Msururu wa magari’
    foleni, moza, mlolongo, mkururo

Matamshi

msururu

/msururu/