Ufafanuzi wa msusa katika Kiswahili

msusa

nominoPlural misusa

  • 1

    samaki mwenye kichwa kirefu, mnene wa kadiri na mwenye umbo la mviringo.

Matamshi

msusa

/msusa/