Ufafanuzi wa mtai katika Kiswahili

mtai

nominoPlural mitai

  • 1

    alama ya mkato k.v. mtu anapochanjwa kwa kisu.

  • 2

    mstari

Matamshi

mtai

/mtaji/