Ufafanuzi wa mtaimbo katika Kiswahili

mtaimbo

nominoPlural mitaimbo

  • 1

    fimbo nene ya chuma inayotumika kuvunjia miamba, mawe na vitu vigumu au kusaidia kuinua vitu vizito.

Matamshi

mtaimbo

/mtajimbɔ/