Ufafanuzi msingi wa mtaji katika Kiswahili

: mtaji1mtaji2

mtaji1

nominoPlural mitaji

 • 1

  mali inayotumika kuanzishia au kupanulia biashara au shughuli yoyote ya kuzalisha mali.

  duhuli

 • 2

  mali inayotumiwa katika shughuli za chama au shirika ambayo kwayo faida iliyopatikana hutegemea mali iliyokadiriwa.

Matamshi

mtaji

/mtaʄi/

Ufafanuzi msingi wa mtaji katika Kiswahili

: mtaji1mtaji2

mtaji2

nominoPlural mitaji

 • 1

  komwe katika mchezo wa bao zinazomwezesha mchezaji kula komwe za mpinzani wake.

Matamshi

mtaji

/mtaʄi/