Ufafanuzi wa mtala katika Kiswahili

mtala

nomino

  • 1

    mke mmojawapo miongoni mwa wake wa mtu mmoja.

    ‘Ndoa ya mtala’

Matamshi

mtala

/mtala/