Ufafanuzi wa mtambuko katika Kiswahili

mtambuko

nominoPlural mitambuko

  • 1

    jambo, suala, mada au shughuli inayovuka na kuhusisha sehemu nyingine katika jamii.

    ‘Suala la UKIMWI ni mtambuko hivyo kila sekta inapaswa kujihusisha na kulishughulikia suala hili kikamilifu’

Matamshi

mtambuko

/mtambukɔ/