Ufafanuzi wa mtepe katika Kiswahili

mtepe

nominoPlural mitepe

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    aina ya jahazi dogo ambalo ubavuni mwake huongezwa vipande vya jamvi au kamba ili kuongezea urefu.

Matamshi

mtepe

/mtɛpɛ/