Ufafanuzi wa mtetemeko katika Kiswahili

mtetemeko

nomino

  • 1

    hali ya kutikisika, agh. kutokana na baridi au hofu.

    zilizala, mtetemo