Ufafanuzi wa mtitigo katika Kiswahili

mtitigo

nomino

  • 1

    msukosuko unaopatikana wakati chombo cha kusafiria k.v. gari kinapokwenda k.m. kwenye barabara yenye mashimo.

Matamshi

mtitigo

/mtitigÉ”/