Ufafanuzi wa mtitio katika Kiswahili

mtitio

nominoPlural mititio

  • 1

    hali ya kubonyea kutokana na uwazi ulioko ardhini.

    mdidimio

  • 2

    mlio uonyeshao uwazi ulio ndani ya ardhi.

Matamshi

mtitio

/mtitijɔ/