Ufafanuzi msingi wa mto katika Kiswahili

: mto1mto2

mto1

nominoPlural mito

  • 1

    korongo lenye maji yanayotiririka wakati wote, agh. kuanzia mlimani kuelekea ziwani au baharini.

Matamshi

mto

/mtɔ/

Ufafanuzi msingi wa mto katika Kiswahili

: mto1mto2

mto2

nominoPlural mito

  • 1

    kitu kama mfuko uliojazwa pamba, sufi au manyoya kinachotumiwa kwa kulazia kichwa wakati wa kulala.

  • 2

    aina ya takia.

Matamshi

mto

/mtɔ/