Ufafanuzi wa mtondoo katika Kiswahili

mtondoo

nominoPlural mitondoo

  • 1

    bunduki ya zamani ambayo hutumia mafusho ya fataki.

Matamshi

mtondoo

/mtɔndɔ:/