Ufafanuzi wa Mtukufu katika Kiswahili

Mtukufu

nominoPlural watukufu

  • 1

    sifa mojawapo ya Mwenyezi Mungu; aliyetukuka.

  • 2

    neno linalotangulia jina la mtu anayeheshimiwa.

    ‘Mtukufu Rais’

Asili

Kar

Matamshi

Mtukufu

/mtukufu/