Ufafanuzi wa mturituri katika Kiswahili

mturituri

nominoPlural miturituri

  • 1

    mmea unaotambaa unaotoa mbegu ndogo nyekundu zenye doa jeusi.

    mmwangaluchi, mtipitipi

Matamshi

mturituri

/mturituri/