Ufafanuzi wa mtutumo katika Kiswahili

mtutumo

nominoPlural mitutumo

  • 1

    sauti ya ngurumo inayotokana na tukio fulani k.v. radi, tetemeko la ardhi, maanguko ya maji au kufura kwa tumbo.

    ‘Mtutumo wa tumbo’
    ‘Mtutumo wa ardhi’

Matamshi

mtutumo

/mtutumɔ/