Ufafanuzi wa mtweko katika Kiswahili

mtweko, mtwiko

nomino

  • 1

    tendo la kupandisha kitu juu k.v. mzigo au tanga.

Matamshi

mtweko

/mtwɛkɔ/