Ufafanuzi wa mualizeti katika Kiswahili

mualizeti

nominoPlural miualizeti

  • 1

    mmea wenye ua kubwa la duara na pana lenye rangi ya manjano na lenye punje nyingi nyeusi zinazokamuliwa mafuta.

Asili

Kar

Matamshi

mualizeti

/mualizɛti/