Ufafanuzi msingi wa muhali katika Kiswahili

: muhali1muhali2

muhali1

nominoPlural miuhali

 • 1

  jambo linaloweza kuleta ugomvi, kutoelewana au bughudha baina ya watu.

  ‘Juma ananitafutia muhali’

Asili

Kar

Matamshi

muhali

/muhali/

Ufafanuzi msingi wa muhali katika Kiswahili

: muhali1muhali2

muhali2

kivumishi

 • 1

  -enye kutowezekana kuwa.

  ‘Jambo hili ni muhali kufanyika’
  ‘Hayo utakayo ni muhali’

Asili

Kar

Matamshi

muhali

/muhali/