Ufafanuzi wa muhtasari katika Kiswahili

muhtasari

nominoPlural miuhtasari

 • 1

  ufupisho wa maelezo; vidokezo.

  ‘Nieleze kwa muhtasari yaliyotokea’
  dokezo

 • 2

  mwongozo juu ya masomo na ufundishaji katika shule na vyuo.

  ikisiri

Asili

Kar

Matamshi

muhtasari

/muhtasari/