Ufafanuzi wa muo katika Kiswahili

muo

nomino

  • 1

    fimbo yenye ncha ya chuma inayotumiwa kuchimbulia mashimo au kung’olea vitu.

Matamshi

muo

/muwɔ/