Ufafanuzi wa mustarehe katika Kiswahili

mustarehe

kielezi

  • 1

    kwa raha au furaha kubwa.

    ‘Kaa raha mustarehe’

Asili

Kar

Matamshi

mustarehe

/mustarɛhɛ/