Ufafanuzi wa Muumba katika Kiswahili

Muumba

nomino

  • 1

    mwenye kuumba vyote vilivyomo duniani na mbinguni; Mwenyezi Mungu.

    Bwana, Mola

Matamshi

Muumba

/mu:mba/