Ufafanuzi wa muumikaji katika Kiswahili

muumikaji

nominoPlural wauumikaji

  • 1

    mtu mwenye ujuzi wa kutibu kwa kutoa damu mwilini kwa kutumia chuku au pembe; mpiga chuku.

Matamshi

muumikaji

/mu:mikaʄi/