Ufafanuzi wa muziki katika Kiswahili

muziki

nominoPlural miuziki

  • 1

    mpangilio wa sauti za ala, uimbaji au vyote viwili, unaoleta athari fulani kwa kiumbe.

    wimbo

Matamshi

muziki

/muziki/