Ufafanuzi wa mvukizo katika Kiswahili

mvukizo

nominoPlural mvukizo

  • 1

    ugeukaji wa uowevu kuwa mvuke.

Matamshi

mvukizo

/mvukizɔ/